HII NDIO NDEGE ILIYOANGUKA MAPEMA LEO MCHANA ENEO LA GONGO LA MBOTO DAR ES SALAAM


Ndege ndogo ya Kampuni ya Aslum imeanguka eneo la Gongolamboto DSM ikiwa kwenye mafunzo ya vitendo kwa mwanafunzi wa urubani.Ndege hiyo ilikuwa na rubani 1 na mwanafunzi 1.
Previous
Next Post »