R.KELLY AACHIA SINGLE MPYA MY STORY AMEMSHIRIKISHA 2CHAINZ ITAZAME HAPA


 
tazama video ya wimbo hapa


 Muziki maestro, R.Kelly imetoa  brand new Single mpya moja yenye jina la 'My Story,' akishirikiana na rapa maarufu, 2 Chainz.

Muimbaji -mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa rekodi  huyu mwenye miaka 46 kwa sasa ambaye  pia anajulikana kwa hits nyingi kama 'I Believe I Can Fly,'
Storm Is Over,’ ‘Trapped in the closet,’
walionyesha msisimko juu ya kazi yake na  mafanikio kwenye tovuti za kijamii ,vyombo vya habari ,na Facebook.

"Wanasema maisha ni  kama mchezo tu na Namshukuru Mungu kwamba mimi nina shinda," alisema Kelly.

Machi 2011,  R. Kelly alitajwa kama msanii  wa R&B mwenye mafanikio   zaidi  kwa miaka 25 na  Billboard.

Kulingana na Wikipedia, Kelly imetoa Albamu10
studio ,na  kuuza Albamu 38,5 million nchini Marekani na zaidi ya albamu  milioni 54 duniani kote na kumfanya kuwa msanii wa R&B wa kiume mwenye mafanikio zaidi  kati ya miaka ya 1990.



Music maestro, R.Kelly has released a brand new single titled ‘My Story,’ featuring popular rapper, 2 Chainz.

The 46-year old American singer-songwriter and record producer who is known for many hits like ‘I Believe I Can Fly,’ ‘Storm Is Over,’ ‘Trapped in the closet,’ expressed excitement about his successful career on social media site, Facebook.

“They say life is just a game and I thank God that I’m winning,” he said.

In March 2011, R. Kelly was named the most successful R&B artist of the last 25 years by Billboard.

According to Wikipedia, Kelly has released 10 studio albums, sold 38.5 million albums in the U.S. and over 54 million albums worldwide making him the most successful R&B male artist of 1990s. See video after the cut:

- See more at: http://www.jointarena.com/2013/08/rkelly-drops-new-single-my-story.html#.UgxqFH_-RTA
Previous
Next Post »