Rais Kikwete akiwa akiwa katika picha ya pamoja na Msanii wa Filamu na Bongofleva,Hemed Suleiman.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya kumbukumbu na mmoja wa Watangazaji machachari wa Clouds FM,TV,Mbwiga Mbwiguke.
Rais Kikwete akiwa akiwa katika picha ya pamoja na Msanii Mkongwe wa Bongofleva,Gwamaka Kaihula a.k.a King Crazy G K.
Rais
Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Msanii wa bongofleva na
muigizaji wa Filamu hapa nchini,atambulikae kwa jina la kisanii Zuwena
Mohamed a.k.a. Shilole.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii wa Bongofleva,Ally Kiba na mdogo wake Abdull Kiba. |
Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wasanii wa muziki wa Bongofleva mara baada ya kufturu Kutokakushoto,Snura,Keisha,Mwasiti,aliyechuchumaa ni Shilole,Dj Fetty ,Mwanahawa Abdul a.k.a Quee Doreen.
Wasanii wa
muziki wa kizazi kipya pichani shoto Mwasiti Almas na kulia Zuwena Mohamed
a.k.a Shilole wakiwa sambamba na Mtangazaji wa Clouds FM,Dj Fetty wakipakua
ftari kufuatia mualiko wa Rais Kikwete kwenye viwanja vya Ikulu,jijini Dar
jana.
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a
Bongofleva wakipata ftari kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar jana kufuatia
mualiko wa Rais Kikwete.
Rais
Kikwete akisalimiana na msanii wa bongofleva,Lawrence Malima a.k.a Marlow,kulia
kwake ni Ally Kiba pamoja na Abdul Kiba na kushoto ni Mtangazaji wa East Africa
Radio,Samisango
Rais
Kikwete
akisalimiana na msanii wamuziki wa kizazi kipya,Chege Chigunda na kulia
kwake ni msanii wa bongofleva,Cassim Mganga,wakati wa kupata ftari jana
jioni
kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar.
Rais
Kikwete akiwasabahi baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya,mara baada ya
kupata ftari mapema jana jioni kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar,Rais Kikwete
aliwaalika wasanii mbalimbali kupata ftari ya pamoja Ikulu jana jioni.
EmoticonEmoticon