Makamu wa Rais Dk. Bilal ahudhuria kuapishwa Rais Mpya wa Iran.

IMG_3267

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislam ya IRAN alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Teheran Jana August 03-2013 kwa ajili ya kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mpya wa Nchi hiyo Bw. Hassan Rouhan  Al-Quds  anaetarajiwa kuapishwa kesho baada ya kushinda kwenye uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni.
IMG_3280
IMG_3289
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mshauri Maalum wa Waziri wa Mambo ya nje wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislam ya IRAN Bw. Mohammad Valulleh kwenye chumba maalum cha mapumziko VIP katika  uwanja wa ndege wa kimataifa wa Teheran jana August 03-2013 alipowasili Nchini Irani kwa ajili ya kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mpya wa Nchi hiyo Bw. Hassan Rouhani  Al-Quds  anaetarajiwa kuapishwa kesho baaada ya kushinda  kwenye Uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni.
Previous
Next Post »