KESI YA UGAIDI TABORA YAFUTWA, MUME WA JOYCE KIRIA NA WENZAKE WABAKI NA SHITAKA MOJA...!!!

 
 
 
 

Katibu Wa Chadema mkoa wa kinondoni na Kanda maalum ya Dar es salaam, mjumbe wa mkutano mkuu Henry Kilewo(Kulia) na Wenzake Wanne Wameachiwa. Wamefutiwa mashitaka yote ya Ugaidi, sasa wamebakia na shitaka moja la kudhuru mwili, dhamana itatolewa na mahakama ya wilaya Igunga
Previous
Next Post »