Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali
mwenyekiti wa UDP Mh.John Momose Cheyo aliyelazwa katika hospitali ya
Aga Khan jijini Dar es Salaam.Katikati ya Rais na Mama Salma ni Mjukuu
wa Mheshimiwa Cheyo anayejulikana kama Gabriel Cheyo.
EmoticonEmoticon