Foleni ya kwenda kumuona Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda



 Foleni ya Waumini wakisubiri zamu yao kwenda kumjulia hali Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda aliyelazwa kwenye wodi binafsi ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (Moi) akipatiwa matibabu leo.

Previous
Next Post »