TAZAMA MTOTO ALIYEZALIWA BILA FUVU

:

 
Mtoto  huyu kutoka Nigeria amezaliwa  Bila ya fuvu, Amewekewa fuvu la bandia kwa kuweka nyama za kutoka mikononi mwake  na ameweka Rekodi katika kitabu cha Guiness Holder


 Ni matarajio  ya watu wengi, duniani  kusubiri kuona OkikiJesu Olawuyi  anapata nafuu na kupona kabisa kwa sasa mtoto huyu yupo akipigania maisha yake  katika hospitali ya John Hopkins University in the United States


Previous
Next Post »