RAIS JK ATOA AMRI YA KUMALIZWA TATIZO LA KODI MPYA TATA YA SIM!!

Rais JK leo alipokutana na Wawakilishi wa Makampuni ya Sim bongo, Ikulu.

Rais Kikwete ametoa agizo mamlaka zote husika zikae chini kutatua haraka mzozo wa kodi ya sim card ili kumaliza malalamiko ya wananchi.

Rais Kikwete ametoa agizo hilo jioni hii alipokutana na viongozi wa wizara ya fedha, sayansi mawasiliano na teknolojia, TCRA na wawakilishi wa makampuni yote ya simu Tanzania.

Lengo ilikuwa kujadili mzozo huo.
 
- See more at: http://williammalecela.blogspot.com/2013/07/breakin-newzzzrais-jk-atoa-amri-ya.html#sthash.OqVuOGr5.dpuf
Previous
Next Post »