Picha
ya pamoja mara baada ya kuzinduliwa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi
na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5
bure jijini Mbeya,hafla hiyo inayoratibiwa na RITA, imefanyika kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe ,mkoani Mbeya. Mpango huo
umefadhiliwa na mashirika mbalimbali likwemo shirika la UNICEF, DFTDA
(iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na Shirika la Wafanyakazi la
kujitolea (VSO).
Naibu
Waziri wa katiba na Sheria, Mh, Angellah Kairuki akizindua mfumo mpya
wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa
umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika
kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, mkoani Mbeya. Kulia kwake ni Afisa
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), Philip
Saliboko na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini,Dkt.Norman Sigalla
na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa bodi ya Ushauri RITA,Bwa.Vincent
Mrisho na wageni mbambali wakilishuhudia tukio hilo adhimu
kabisa.Shughuli nzima inaratibiwa na RITA.
Mgeni
rasmi, Naibu Waziri wa katiba na Sheria, Mh. Angellah Kairuki
akimkabidhi mmoja wa akina mama aliyejitambulisha kwa jina la Fides
Samson akikabidhiwa cheti cha kuzaliwa cha mtoto wake mwenye umri chini
ya miaka 5,mara baada ya kuzindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na
vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa
wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika kwenye Uwanja wa Ruanda
Nzovwe, mkoani Mbeya. Mpango huo umefadhiriwa na mashirika mbalimbali
likwemo shirika la UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na
Shirika la Wafanyakazi la kujitolea (VSO).
Baadhi
ya akina mama wakiwa na vyeti vya kuzawaliwa vya watoto wao wanye zaidi
ya wiki mbili tangu kuzaliwa kwao,mara baada ya kabidhiwa na Mgeni
Rasmi, Naibu Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki mara baada
ya kuuzindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati
wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 bure jijini Mbeya,hafla
hiyo imefanyika kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,mkoani
Mbeya.Mpango huo umefadhiriwa na mashirika mbalimbali likwemo shirika la
UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na Shirika la
Wafanyakazi la kujitolea (VSO).
Mgeni rasmi, Naibu
Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki akizungumza mbele ya
wakazi wa mji wa Mbeya (hawapo pichani) wakati alipokuwa
akizindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa
usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo
imefanyika kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya.
Baadhi ya Wakazi wa jijini Mbeya wakiwa wamekusanyika kwenye uwanja wa Ruanda Nzovwe wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo
kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa
Mbeya,hafla hiyo imefanyika kwenye Uwanja wa Ruanda
Nzovwe,jijini Mbeya.
Mwakilishi Mkazi wa shirika
la UNICEF hapa nchini, Dkt.Jamal Gulaid Mgeni akizungumza mbele ya
wakazi wa mji wa Mbeya (hawapo pichani) wakati alipokuwa
akizindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa
usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo
imefanyika kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya.
Baadhi
ya akina mama na watoto wao wakifuatilia kwa makini yalikuwa yakijiri
kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na
vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa
wa Mbeya,hafla hiyo inayoratibiwa na RITA imefanyika kwenye
Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya.
Baadhi ya Wageni waalikwa
na wawakilishi kutoka mashirika mbalimbali ya Kimataifa wakifuatilia
uzinduzi wa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa
usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo
imefanyika kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya.
Mwenyekiti wa bodi ya
Ushauri RITA,Bwa.Vincent Mrisho akifafanua jambo kwa Baadhi ya Wakazi wa
jijini la Mbeya (hawapo pichani) kuhusiana na uzinduzi wa mfumo mpya
wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa
umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika
kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya.Aidha Bwa.Mrisho aliongeza
kuwa mkakati huo hauwalengi watoto walio chini ya miaka mitano tu bali
ni sehemu ya mfumo mpya wenye lengo la kuwapa nafasi wananchi walio
zaidi ya miaka mitano kujisajili na kupata vyeti vya kuzaliwa.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya
Mjini, Dkt.Norman Sigalla (pichani kati) akiwa na Mgeni Rasmi pichani
kushoto,Naibu Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki mara
alipokuwa akiwasili kwenye uwanja wa Ruanda Nzovwe jijini Mbeya kwa
ajili ya kuzindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia
mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 bure jijini Mbeya,
hafla hiyo imefanyika kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,mkoani
Mbeya. Mpango huo umefadhiliwa na mashirika mbalimbali likwemo shirika
la UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na Shirika la
Wafanyakazi la kujitolea (VSO)
EmoticonEmoticon