Wakati
 tukiwa katika karne ya 21 huku tukiwa tunashuhudia teknolijia 
mbalimbali duniani ambazo simekufanya kushangaa na kuona kama ni kiini 
macho huamini amini hivi katika kuendeleza teknolojia iko Mercedes Benz 
ya 2014 S550 ambayo ukishaiwasha unaweka setting inajiendesha yenyewe 
wewe ukiwa umekaa na kuenjoy the drive ya 2014 Mercedes benz S550 , bei 
yake bado haijajulikana itauzwa kiasi gani. Hapa ndipo utakapojua 
Wabongo wabishi mzigo ukiingia tu sokoni mwakani siku chache baadae 
mchuma utaonekana ukicruise katika barabara za Bongo..Big up yourself 
kwa kampuni ya Benz.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon