Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mchizi Mox akisalimiana na msanii
mwenzie Mwana FA walipokutana katika tamasha la matumaini lililofanika
hivi karibuni jijini Dar es Salaam
Msanii kutoka Kenya Prezzo akiwa na baadhi ya wasanii watanzania pamoja
na mtangazaji wa EATV kabla ya kupanda jukwaani katika tamasha la
Matumaini
H. Baba akiwa pamoja na Kala Pina wakizungukwa na mashabiki wa bongo fleva
Kala Pina akishoo love na shabiki wake
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond akishuka kwenye gari alipowasili kiwanjani hapo
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon