HUYU NDIYE EBONY OSHUNRINDE BINTI AIYETENGENEZA BEAT YA NGOMA YA "CROWN" YA JAY - Z

 

Kwa watu wanatengeneza ngoma kwa ajili ya msanii anayempenda, lakini itaonekana haiwezekani kwa msichana mwenye umri wa miaka 16 anayeitwa Ebony Oshunrinde amabe ametengeneza ngoma mpa ya “Crown” ya Jay – Z ambayo ipo kwenye albam yake mpya ya “Magna Carta Holy Grail”. Ebony alipokuwa na miaka 14 aliingia kwenye mashindano ya yaliyofanyika Toronto yaliyofahamika kama “Beatmakers Competition” na alifanikiwa hadi kufika robo fainali kabla ya kutolewaa. Mwaka uliiofuata Ebony mwenye kuamini kufikia anachokitaka akaingia kwenye mashindano tena na kushinda. Baada ya kushinda akasainiwa na Black Box amabyo ilimsaidia kupata bahati ya ngoma yake kuwa kwenye albam mpya ya Jay – z. Akipiga stories na CBC, Ebony amabe pia anajulikana kama “Wondagurl” aliweka wazi kwamba alijifunza kutengeneza beats baada ya kuangalia Video ya Jay-z na Timberland wakiwa studio akiwa na maiaka 9, ndipo alipoanza kujifunza kutengeneza beats kwa kuangali maelezo kupitia youtube. 
Previous
Next Post »