BEYONCE AONEKANA AKIENJOY NA MWANAE IKIWA NI KATIKA MOJA YA TOUR YAKE YA ULAYA WAKUACHE


Ingawa Beyonce yuko katika tour yake kubwa ya huko Ulaya,angalau anapata muda wa kupumzika na familia akiwa katikati ya ratiba iliyojaa ubize mkubwa. Wiki iliyopita alionekana Miami resort akiwa na mtoto wake Blue Ivy wakienjoy jua wakiwa na mama yake Tina, Solange na mpwa wake Julez na Angie.
Previous
Next Post »