Waziri wa Uchukuzi, Dk.Harrison Mwakyembe Atunukiwa Tuzo na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji(NIT)Kwa Mchango Wake Mkubwa wa Kuboresha Sekta ya Reli Nchini


Mkuu wa Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji(NIT) Dk.Zacharia Mganilwa (kushoto)  akimkabidhi tuzo Waziri wa Uchukuzi, Dk.Harrison Mwakyembe(kulia) kwa mchango wake  mkubwa  wa kuboresha sekta ya reli  nchini kwa niaba ya kampuni  ya Mwandi Tanzania kwenye  hafla ya makabidhiano iliyofanyika leo  jijini Dar es Salaam.
Previous
Next Post »