Hivi ndivyo ilivyokuwa leo wakati Obama na Bush walipokutana katika Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam

 




Rais Obama pamoja na Bush walikutana leo Asubuhi katika Ubalozi wa Marekani uliopo jijini Dar es Salaam na kufanya tendo la kutoa heshima zao kwa Walipoteza Maisha pamoja na wale wote walioathirika katika shambulio la Ugaidi katika Ubalozi wao hapa nchini mwaka 1998.



Hapa walipata nafasi ya kukutana na Familia za walioathirika na tukio hilo la Ugaidi

Pictures courtessy of AP

Previous
Next Post »