MARIAH KUONDOKA ISLAND DEF JAM KWA SABABU YA KANYE WEST?


 

Kuna mambo baadhi yameripotiwa hayako sawa na Mariah Carey na label ya Island Def Jam kwa sababu chache tu. Ngoma ya Mariah Carey ya “Beautiful” na Miguel ilitakiwa isipromotiwe kwa mapenzi yake na ingawa alitangaza kwa kuchukua muda mrefu kwa sababu alitaka albam yake mpya ya “The Art Of Letting Go to be Perfect’ itoke kwanza inagwa hiyo inaweza isiwe sababu. Mariah Carey hapendi kuwa sehemu ya pili lakini ndicho kilichotokea pale Kanye West alipofanya haraka kuachia albam yake ya “Yeezus”. Kati ya dakika za mwisho zilibadilisha mambo pamoja na soko, Kanye alitakiwa aanze kwanza na hicho ndicho kilichotokea na kilichosababisha na kupunguza mahusiano mazuri kati ya Mariah Cerey na label ya Island Def Jam. Hii ndo inaweza ikawa albam yake ya mwisho na lebo hiyo ya Island Def Jam, Unadhani Mariah Carey ataenda kama akitoka Isaland Def Jam?
Previous
Next Post »