Balozi Mpya wa Tanzania nchini Marekani, Leberata Mulamula Akabidhi Hati za Utambulisho Kwa Rais wa Marekani Barack Obama


Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Leberata Mulamula akiwa na Rais wa Marekan Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho Alhamisi Julai 18, 2013 katika Ikulu ya marekani "White house" na kisha kufuatia na tafrija ya kumpongeza iliyofanyika katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
Previous
Next Post »