Baada ya Dj Khaled kumpropose Nicki Minaj, Ricky Ross aongea

Pendekezo la Dj Khaled kutaka kumuoa Nicki Minaj ni maendeleo ya ajabu katika dunia ya hiphop, lakini Ross amempa moyo Niki kukubali ofa hiyo kutoka kwa Spin Doctor huyo kutoka Florida.
Licha ya Ross kuwa karibu sana na Khaled, ameongea kupitia power 106 na kusema kuwa alikuwa hajui chochote kinachoendelea
“It was some chatter going around, but I can’t say that I knew, but it was some chatter,” Ross told Los Angeles’ Power 106 host Rikki Martinez.”Time to sit that a** on his lap.”

Hit maker, Dj Khaled alim-propose YMCMB labelmate Niki Minaj siku ya alhamis (25th) mbele ya camera za MTV.

 "Nicki Minaj, I'm at MTV, I'm going to be honest with you; I love you," Khaled ameongea mbele ya camera akiongea direct kwa Pink Friday MC. "I like you, I want you, I want you to be mine."


Khaled alikuwa na mengi ya moyoni kabla yakusema, "Nicki Minaj, will you marry me?"

  The Best CEO aliongea clear and direct , na alifika katika studio za MTV akiwa na pete ya Diamond ya uchumba yenye Karat 10 ambayo inasemekana kuwa na thamani ya dola karatwith 500,000.
Previous
Next Post »