UPDATE: Taarifa ya kusafirishwa kwa mwili wa Albert Mangwair kutoka Afrika Kusini.



 Taarifa kutoka kwenye kikao cha mazishi ya marehemu Mangwair, zinasema kwamba Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini leo unashughulikia cheti cha kifo na nyaraka nyingine ili kuhakikisha kuwa mwili wa marehemu unaletwa nchini mapema iwezekanavyo. Kama kila kitu kikiwahi na nyaraka zote kupatikana na kufanyiwa kazi mapema, basi mwili huo utasafirishwa leo jioni au mapema kesho (Jumanne).
Previous
Next Post »