RIPORT YA DOCTOR KUHUSU KIFO CHA MANGWEA



Ripoti rasmi ya kifo cha Albert Mangwea, ni ya kiingereza Lakini pia tumeweza kuelezea kwa kiswahili chini hapa..... Official medical report on what caused Ngwair’s death.  "The Medical report from Helen Joseph hospital, Dr Shirley Radcliffe confirming that albert Mangwair died from “alcohol toxicity” after drinking too much,Over-exhaustion and drugs overdose….

The inquest heard that Albert 28, collapsed in the his friends home had been more than five-times the legal S.A drink-drive limit with 416mg … of alcohol per 100 millilitres of blood in his system…

Radcliffe described the reasons for ICU admission included hypoxemia and one of his friend found “two empty vodka bottles[found] on the Car” and he had been suffering from the eating disorder Bulimia for several months before his death and endless partying session with little or no resting…

Sample taken from his stomach showed poly-drug cocktail and he overdosed Heroin,Cocaine ‘crack’ and cannabis 0.08gms was also found in his blood…and his death was caused by massive heart attack and respiratory failure followed by sudden Heart stop and end up dead within seconds!"

                                         TAFASILI YAKE

 
Kwa mujibu wa ripoti hiyo kutoka hospitali alikopelekwa marehemu Ngwair, Dkt. Shirley Radcliffe amethibitisha kuwa kilichomuua Albert Mangwair ni sumu ya kilevi. [Ufafanuzi wangu] Kilevi au alkoholi inayolewesha watu kwenye pombe ni sumu. Ukiinywa kwa kiwango kikubwa, kinaweza kukusababishia upotevu wa fahamu, kupunguza uwezo wa kupumua, na hata kifo.
 
Taarifa hiyo inaendelea kwa kusema kwamba baada ya kunywa kupita kiasi, Ngwair alitumia mihadarati kwa kiwango kikubwa kuliko mwili wake unavyoweza kuhimili(drug overdose)iliyoko kwenye pombe. Dkt Radcliffe aliongeza kuwa Ngwair alipelekwa katika wodi ya watu mahututi kutokana na upungufu mkubwa wa oksijeni mwilini au “hypoxemia.”
 
Mmoja wa rafiki zake alikuta chupa mbili za vodka zikiwa tupu ndani ya gari, na Ngwair alikua na tatizo la kula linaloitwa bulimia kwa miezi kadhaa kabla ya kifo chake, ambapo alikua akijirusha bila kikomo bila kupumzika au kupumzika kidogo.
 
Sampuli ya kutoka tumboni kwake inaonyesha mchanganyiko wa kiwango kikubwa cha mihadarati aina ya cocaine, na heroine, na pia alikutwa akiwa na gramu 0.08 za bhangi kwenye damu.
 
Kifo chake kilisababishwa na massive heart attack (shambulizi la moyo?) na kushindwa kupumua, vilivyosababisha moyo wake usimame na akafariki baada ya sekunde kadhaa

Previous
Next Post »