Rais Kikwete apokea Ujumbe toka kwa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Ikulu ndogo Dodoma

 

ad1

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt Donald Kaberuka ulioletwa kwake na mwakilishi mkazi wa Benki hiyo nchini Mhe.Tonia Kandiero Juni 13, 2013 katika Ikulu Ndogo Dodoma.

adb2

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na  mwakilishi mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) hiyo nchini Mhe Tonia Kandiero  Juni 13, 2013 katika Ikulu Ndogo Dodoma baada ya kupokea ujumbe maalumu toka kwa Rais wa Benki ya hiyo  Dkt Donald Kaberuka.

Previous
Next Post »