QUOTES 10 ZA KUKUMBUKWA KWA HUDDAH ALIYEKUWA MSHIRIKI WA BIG BROTHER AFRIKA 2013

 

Huddah press conference

Haya ndio aliyoyasema akiwa katika mkutano na vyombo vya habari
  1. I love drunk driving."anapenda kuendesha gari akiwa amelewa"jambo ambalo mimi binafsi naona no hatari sana kwa maisha yake.
  2. You cant change a man; you should just accept him for who he is."Huwezi mbadilisha mwanaume unatakiwa kumkubali kwa vile alivyo."
  3. I don’t like guys who go to the club, order for a bottle of expensive liquor and pose for women to see how expensive they are."Hapendi wanaume wanaokwenda disko na kununua machupa ya pombe ya bei na kuweka pozi nayo ili tu wanawake wamuone kama wao wanazo."
  4. I don’t meet men in the club as all they want to do is ‘hit it’ and leave you as opposed to asking for genuine friendship.
  5. I have been in a two year relationship. It has been on and off."Amekuwa kwenye mahusiano kwa miaka miwili na imekuwa on and off"
  6. I once abused a guard who turned the lights on me as I ‘relieved’ myself outside a club at Electic street (Westlands, Nairobi)"Ameshawahi kumjibu vibaya mlinzi ambaye alimuwashua taa nje ya club huko Westlands,Nairobi"
  7. When you get caught driving without a license its good to be polite to a cop. Don’t try to speak in English, use Swahili."Ukikutwa unaendesha gari bila leseni ni vizuri kuwa mpole kwa askari wa barabarani usiongee naye kingereza tumia Kiswahili"
  8. There are too many loose girls in the clubs nowadays who just go sit there and expect men to come, buy drinks and take them home."Siku hizi kuna wasichana wazembe wengi kwenye madisko wanao kwenda na kukaa bure tu wakitarajia  wanaume waje na kuwanunulia vinywaji na kuwarudisha majumbani kwao"
  9. I drink vodka" Anakunywa kinywaji aina ya vodka"
  10. I thank God for the one week in the Big Brother House.Anamshukuru Mungu kwa wiki moja ambayo alikuwa katika jumba la Big Brother

Previous
Next Post »