Mjadala unaonekana kuwa wa moto miongoni mwa watazamaji wa big brother, katika mada inayosema wanawake wa kundi lipi ni warembo zaidi kati ya kundi la Rubies ama Diamonds.
Ving'asti wa kundi la Diamonds ni Dillish, Betty, Feza, Motamma, Fatima na Annabel.
Ving'asti wa Rubies ni, Maria, Selly, Natasha, Beverly, Pokello, Cleo na Koketso.
Haya ni maoni kutoka facebook katika mjadala huu;
Katty Katty Candy Ruby girlz are hot.
Edefe Evelyn Ruby House for girls while Diamond for guys.
Lebogang Malete I just love the Diamod House there's life there.
Akinbulejo Wunmi It’s the Ruby galz....Much love for Maria and Koketso.
Anelisa Mandie Madwantsi Rubies ar hooootttt and Diamonds are beautiful!
Tee Ciny Malema Diamonds, especially Motamma and Dillish
na maoni ya tweeter ni
@BigBroAfrica. Definitely the Diamond House Biggie, Daaaamn Anabelle is blazing12:15 PM - 5 Jun 2013 from Limpopo, South Africa, South Africa
Lena won @helenijama1
_AM_SALLY @Salome22Www
Priscilla @ntshamayeng
EmoticonEmoticon