Kamati ya msiba tunaomba kutoa taarifa kwamba mwili wa marehemu ndugu yetu Albert Magwair hautafika siku ya jumapili ya tarehe 02/06/2013 kama ilivyokua imepangwa hapo awali hiin ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.Kwa sasa tunasubiria taarifa kamili kutoka kwa wawakilishi waliopo Afrika kusini mara tutakapopata taarifa hizo tutawafahamisha zaidi.
Tunaomba radhi kwa watanzania wote kwa usumbufu wote uliojitokeza tuendelee kuvumilia
EmoticonEmoticon