Mbunge Msigwa akishuka katika gari ya polisi baada ya kufikishwa mahakamani siku alipofikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza
Mbunge Msigwa akishuka katika gari hilo la polisi tayari kwa kuelekea chumba cha mahakama
Mbunge Msigwa akiwa na gazeti mkononi baada ya kufikishwa mahakamani leo
Watuhumiwa wengine wa vurugu za machinga na polisi wakishuka katika karandinga la polisi
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa na viongozi wengine wa Chadema akiwemo katibu mwenezi wa Chadema na diwani wake pamoja na watuhumiwa wengine wa kesi ya vurugu za machinga na polisi kufikishwa mahakamani tena kesho jumatatu
Source:Francis Godwin.
EmoticonEmoticon