Kampuni ya Symbion Power ya Marekani ikishirikiana na Klabu ya Sunderland ya jijini London kujenga Academy ya Mpira wa miguu Tanzania.

 

PIX2

 

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akifafanua jambo leo jijini Dar es Salaam wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu ujenzi wa Academy ya Mpira wa miguu itakakayojengwa na Kampuni ya Symbion Power ya Marekani  kwa kushirikiana na Club ya Sunderland ya jijini London.Ujenzi huo unatokana na ahadi aliyopewa Mh.Rais Dkt.Jakaya Kikwete alipokuwa katika ziara ya kikazi nchini Uingereza.

Previous
Next Post »