Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja Awavisha nishani mbalimbali za Utumishi kwa Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza kutoka Mikoa ya Iringa, Rukwa, Ruvuma na Mbeya

  Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja akikagua Gwaride Maalum la Kijeshi Leo  asubuhi kabla ya kuanza zoezi la uvalishaji nishani mbalimbali za Utumishi kwa Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza kutoka Mikoa ya Iringa, Rukwa, Ruvuma na Mbeya. Sherehe hizo za uvalishaji nishani zimefanyikia katika Chuo cha Ufundi Stadi cha Magereza Ruanda Mbeya.

  Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mbeya Mara baada ya kuhitimisha zoezi la uvalishaji nishani kwa Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza kutoka katika Mikoa ya Iringa, Rukwa, Ruvuma na Mbeya. Sherehe hizo zimefanyikia katika viwanja vya Chuo cha Ufundi Stadi cha Magereza, Ruanda Mbeya
  Kamishna Jenerali wa Magereza akiwa  katika picha ya pamoja na baadhi ya Askari Magereza baada ya zoezi la uvalishaji nishani kukamilika katika viwanja vya Chuo cha Ufundi Stadi cha Magereza, Ruanda Mbeya. Jumla ya Maofisa na Askari 25 wamevalishwa nishani mbalimbali na Kamishna Jenerali wa Magereza.
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wastaafu wa Jeshi la Magereza ambao walihudhuria sherehe za uvalishaji wa nishani kwa Watumishi wa Jeshi la Magereza kutoka Mikoa ya Iringa, Rukwa, Ruvuma na Mbeya. Sherehe hizo zimefanyikia katika viwanja vya Chuo cha Ufundi Stadi cha Magereza, Ruanda Mbeya.
Previous
Next Post »