Idd Azan, Halima Mdee wajiandaa kuwakabili Wolper na JB.

 

Halima Mdee na Idd Azan wakijifua mkoani Dodoma.
MDEENAAZZAN2
Mazoezi yakiwa yamepamba moto.
Video

Mdee akijiimarisha kwa ajili ya kumkabili Wolper.
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na Idd Azan ambaye ni Mbunge wa Kinondoni, wameanza kujichua kwa ajili ya mapambano yao ya ndondi katika Tamasha la Matumaini 2013 litakalofanyika Julai 7 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Halima Mdee atazipiga na Jacqueline Wolper wakati Idd Azan akionyeshana ubabe na Jacob Steven ‘JB’
Previous
Next Post »