HII NI STATUS YA JOH MAKINI AKIELEZEA HALI HALISI YA AFYA YAKE

 

Tweets


  1. Naendelea vizuri kabisa watu wa Mungu achaneni na hawa miyeyusho wa mitandaoni
  2.  kuna baadhi ya mitandao iliandika kuhusu hali ya afya ya mwana hip hop Joh makini kuwa ni mbaya lakini yeye mwenyewe kaandika hivi katika tweet get well soon brother 
  3. Hii ni tweet ya dakika nne zilizopita kesharudi nyumbani

            Johmakini @JohMakini 4m
    Namshukuru Mwenyezi Mungu nimeamka na nguvu tena tatizo sindano tu,njiani narudi home toka hosp
Previous
Next Post »