HAWA NDIYO MAJERUHI WA MABOMU WALIOLAZWA HOSPITALI YA SELIANI BAADA KUJERUHIWA KATIKA UWANJA WA SOWETO JIJINI ARUSHA JANA.

 

 

mwandishi wa habari wa Radio Ngurumo ya upako Hizla Kwaya akiwa amelala katika hospitali ya seliani mara baada ya kujeruliwa na bomu sehemu ya miguu

Mzee Steven Mwita akiwa seliani yeye alijeruliwa sehemu ya mdomo

 

Previous
Next Post »