Dkt. Bilal ampokea Mfalme Mswati II aliyetua nchini jana kuhudhuria mkutano wa Smart Partnership utakaoanza Juni 28 mwaka huu.

 

02

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimkaribisha Mfalme Mswati wa (ii) wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam .  Mfalme Mswati wa II ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa ‘Smart Partnership’ unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu.

04

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mfalme Mswati ii, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam . Mfalme Mswati wa ii, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa ‘Smart Partnership’ unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu. 

05

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Mfalme Mswati II, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam  kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa ‘Smart Partnership’, unaotarajia kuanza Juni 28. Kushoto ni mke wa Mfalme Mswati.

Previous
Next Post »