BREAKING NEWS




Watu saba wamejeruhiwa vibaya na kitu kinachozaniwa kuwa ni bomu katika mkutano wa chadema uliokuwa ukifanyika katika eneo la Soweto katika uwanja wa basketball jijini Arusha

Endelea kufuatilia mtandao huu kwa habari zaidi.


source:ITV
Previous
Next Post »

2 comments

Write comments
green records
AUTHOR
15 June 2013 at 08:56 delete

dah! teena jaman!!!!!! mbona kazi sasa hizi siasa.

Reply
avatar
green records
AUTHOR
15 June 2013 at 08:59 delete

mbna hatar sasa hizi siasa jamani!!!!!

Reply
avatar