WAZIRI MKUU PINDA AZINDUA MAKTABA YA ELEKTRONIKI KWA SHULE ZA MSINGI WILAYANI ARUMERU.

 

 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua akizindua mpango wa maktaba ya dijitali kwenye shule ya msingi ya  Nganana wilayani Arumeru. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mbunge wa Arumeru  Mashariki, Joshua Nasari, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinoloji, Profesa Makame Mbarawa, Mbunge wa Rungwe Magharibi, Profesa David Mwakyusa, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tekinolojia cha Mandela, Bulton Mwamila na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Nganana , Samweli Paanjo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Wanafunzi wa Shule ya Misingi ya Nganana wilayani Arumeru wakionyesha kifaa cha elektroniki kiitwacho Electronic Reader che uwezo wa kuhifadhi vitabu zaidi ya 2000 kila kimoja  katika uzinduzi wa Maktaba ya Elektroniki uliofanywa na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda kwenye shule ya Misingi  ya Nganana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya washiriki wa sherehe za uzinduzi wa maktaba ya elektroniki kwa shule za msingi uliofanyika kwenye shule ya Msingi ya NgananaMay 10, 2013. Mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo pinda. (Picha na Ofisi ya Wazri Mkuu).
Previous
Next Post »