WAARABU WATATU WALIOHUSISHWA NA MLIPUKO WA BOMU KANISANI WAMEACHIWA HURU,

 
Raia watatu wa UAE waliokuwa wamekamatwa wakikuhusishwa na tukio la mlipuko wa Bomu huko Arusha wameachiwa huru na wamesharejeshwa nchini mwao... 
Taarifa zinadai kwamba, Raia hao hawahusiki na mlipuko wa bomu hilo.Kilichotokea ni kwamba, siku ya tukio walikuwa karibu na eneo la kanisa na ndo maana walikamatwa... 
Raia hao wameachiwa kwa ushirikiano mkubwa wa ubalozi wa UAE na Tanzania 
Unaweza kutembelea hii link kwa ripoti kamili: 
Previous
Next Post »