UMEWAHI KUIONA SIMU YA MKONONI AMBAYO CHAJI YAKE NI SODA?

 

.
.
Wanasema hii dunia kilichoshindikana ni kumtengeneza binadamu peke yake, kuna vitu vingine ni ngumu kuamini lakini ni ukweli vimetokea, hiyo ni simu ambayo chaji yake inatokana na soda ya Cocacola au Pepsi ambapo Mbunifu wake ni binti wa Kichina anaitwa Daizi Zheng na betri ya simu hii imegundulika kudumu na chaji mara nne zaidi ya betri ya simu ya kawaida ilivyo.

.
.
Source;MillardAyo
Previous
Next Post »