Ama kweli COMEDY na aibu ni vitu viwili tofauti, Ukiwa na kipaji cha uchekeshaji aibu inajiweka pembeni! Mchekeshaji nguli nchini NIGERIA ''Mr Ibu'' aliwahi kusababisha mashabiki wa mpira kuacha kutazama mechi LAGOS mji mkuu wa ''NIGERIA'', Mashabiki hao walipomuona msanii huyo gafla gafla vilizuka vicheko vya hapa na pale hatimaye kuacha kutazama soka na kuamua kumfuata yeye kuonyesha ni jinsi gani alivyowateka watu kutokana na umaahiri wake katika fani yake, picha hio hapo juu ana inamuonyesha akiwa katika moja ya matamasha hivi ndivyo avyowakonga mashabiki wake, ukifatilia kazi zake hutocha kuzitafuta.
|
EmoticonEmoticon