HUU NDIO MWONEKANO MPYA WA AWILO LONGOMBA


Awillo Longomba akitafakari aingie kwa staili gani, ilikuwa usiku wa Jumamosi tarehe 30Feb. katika Hall la Below jijini Copenhagen,Denmark
Awillo akipokelewa na Wapenzi wa muziki wake
Pededzee wa jiji la Copenhagen Mr. Mike akimpa maekelezo Awillo Longomba 


Kila aliyejisikia kudansi na Awillo alipata fursa ya kudansi nae
Wapenzi wa Awillo wakiserebuka na kupata picha za kumbukumbu
Kwa hesabu ya harakaharaka huyu kaka alitunza kama $300
Warembo katika ukodak
Kwa picha zaidi bofya read more


 
Previous
Next Post »