WACHEKI NANCY SUMARI NA MUMEWE LUCAS KWENYE POZI HILI..!



akiwa na mumewe Lucas ...

Aliewahi kuwa Miss World Africa (2005), Nancy Sumary, leo hii amezindua kitabu chake "Nyota Yako" maalum kwa ajili ya watoto.
"kuna sababu nyingi na vitu vingi vilivyonisukuma kuandika kitabu hiki, kwanza ni nafasi ya mwanamke kwenye jamii yetu, umuhimu wake, sababu ya kumuenzi na kumsherehekea na kutambua michango yetu, mwanamke mdogo, msichana mdogo, mama zetu, bibi zetu, kuna kila sababu ya kuangaliana na kutambia na pia kufananisha"
wengi tutajiuliza tukitaka kukipata kitabu hiki tutakipata wapi...Nancy ameongelea pia
"kwanz anitazisambaza kwenye shule za msingi bure, halafu nitakisambaza kwenye bookshop ambako kitauzwa, kwahiyo watoto wa msingi watakuwa na access nacho bure na lakini wengine wengine watakinunua bookshop na hizo hela zitakazopatikana zitaprint kitabu na kukisambaza mbali zaidi...picha na bongo 5


Shaa akishopw love katika uzinduzi huo



kaka wa Nancy

K-lyn

Fina Mango

Faraja Nyalandu

Nancy na mtoto wake Zuri na Profesa Mwaikambo


Mwanamitindo, Ally Rehmtula.
Previous
Next Post »