MGAO WA UMEME WAMKERA SALAMA JABIR....


Siku za hivi karibuni kumekuwepo na katizo la umeme la mara kwa mara katika maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam kiasi cha kuathiri shughuli nyingi za kiuchumi.
 
Kufuatia tabia hiyo ya Tanesco kufanya yao kila siku na kuwaweka wajasiriamali wanaotegemea umeme kwenye mawe, mtangazaji wa kipindi ca Mkasi, Salama Jabir, ameamua kuzipunguza hasira zake kwenye Twitter kwa kuandika:

Kazi inabidi ziende jamani…The f**k is wrong na hii nchi?!Umeme tu?????!Shida isotatulika miaka nenda rudi?!Tunachoshaaaana. F**k that shit!! Taarifa hakuna…kuunguziana mali tu,kulipa hamlipi,kauli nzuri hamna!! Who does that?! Well..Mnatufunza sana,Asanteni!!

Watu wakiamua kuishi nje serikali inalalamika Ooh vijana hawana upendo na nchi yao!!Utapendaje nchi inayokurudisha nyuma

Alosema bora mthamini mbwa naona hakuwa mbali na Ukweli..Ki ukweli misemo ya wahenga yote ni ukweli mtupu,
Previous
Next Post »