Aliyewahi kuwa Mshiriki wa wa shindano la Big Brother Africa Millicent Mugadi, ameshinda katika uchaguzi huu wa Kenya nafasi ya udiwani kupitia chama cha TNA, Millicent ameshinda na atakuwa muwakilishi wa Ziwani County. Itakumbukwa kuwa Millicent alishiriki shindano la BBA Amplified na alikuwa na kinara wa kupiga picha za utupu lkn sasa hivi kajiingiza kwenye siasa na kuwabwaga midume kadhaa aliyokuwa akichuana nayo kuwania seat hiyo ya uwakilishi. Big Up Millicent.
HIZI CHINI NI BAADHI YA PICHA ZA MILLICENT AKIWA NUSU UCHI
EmoticonEmoticon