HII DUNIA INAKOKWENDA NEW STYLE!!!! TISHETI NDEMBENDEMBE INAVYOACHIA CHUCHU ZA AKINADADA NJE NJE...NI HATARI

 

Hii inaitwa Wet T-shirt Competition msichana anamwagiwa maji akiwa amevaa t-shirt nyepesi mpaka chuchu zake zionekane vizuri...

Tamasha hili hufanyika nchini Kenya na hujumuisha michezo mbali mbali pamoja na mziki.

Tamasha hili ambalo hufanyika kila jumamosi ya kwanza ya kila mwezi,hugharimu kiingilio cha sh. 10,000 za kitanzania sawa na sh.500 ya Kenya
Previous
Next Post »