EBWANA HUYU NDIO YULE KIJANA WA MIAKA 19 ALIEVUNJA HISTORIA KENYA KWA KUSHINDA UDIWANI JUZI

 

.

Anaitwa Kibiwota Munge ambae amekua Mkenya wa kwanza mwenye umri mdogo kushinda kiti cha Udiwani na kuwashinda wagombea wengine wote ambao wengine wanalingana na baba yake.
Baba mzazi anasema alianza kumnunulia Munge Magazeti akiwa darasa la nne.
Kwa mapenzi aliyonayo kwa siasa, Munge anasema kwenye bunge la 9 la Kenya alikua ana uwezo wa kutaja majina ya wabunge wote 222, yani anawajua wote kichwani.
Previous
Next Post »