Barcelona yaisambaratisha AC Milan 4 - 0

 

Lionel Messi wa Barcelona akifurahia baada ya kufunga goli la pili dhidi AC Milan. Barcelona imefunga AC Milan 4 - 0 na hivyo kusonga mbele katika hatua ya robo fainali

 

Wachezaji wa Barcelona wakifurahia baada ya kupata goli

 

David Villa akishangilia baada ya kufunga goli dhidi ya AC Milan


David Villa kulia wa Barcelona na Kelvin Costant wa AC Milan wakiwa kazini


Gerrald Pique wa Barcelona akifurahia moja ya magoli yaliyofungwa na Barcelona dhidi ya AC Milan


Lionel Messi wa Barcelona akijaribu kumchomoka Kevin Costant wa AC Millan


Prince Boateng wa AC Milan akihuzunika baaada ya kufungwa na Barcelona


Lionel Messi akifurahia baada ya kufunga goli dhidi ya AC Milan


Philippe Mexes wa AC Milan akishangaa baada ya kufungwa na Barcelona

 

Gerrald Pique (kulia) na wenzanke akifurahia moja ya magoli yalifungwa na Barcelona


 

Previous
Next Post »