WEMA SEPETU AOZA MENO NA KUKIMBILIA HOSPITALINI





Actress wa Swahiliwood Wema Sepetu amelazimika kujisalimisha kwa dentist ili ang'olewe jino kutokana na ulaji wa chocolates wa mara kwa mara kiasi cha kuanza kuoza meno. Kupitia instagram Wema alipost picha zikimuonyesha aking'olewa meno hospitalini. Wema aliandika "Apparently I have 8 cavities.....oh God.......does this mean no chocolates for me" she added "an advice to my fellow chocoholics....it so happens dat if u take a glass of red wine u lose ur chocolate cravings". look at the photos.....

get well soon Wema
 
Previous
Next Post »