RAY APUNGUA MWILI GHAFLA NA KUDAI NI MAZOEZI KWA AJILI YA FILM YAKE MPYA

 



                                 Ray alivyo sasa                       alivyokuwa kabla ya kupungua                      
Actor wa Swahiliwood Vicent Kigosi maarufu kama Ray amesema kuwa kupungua kwake uzito ghafla kumesababishwa na diet na mazoezi makali anayoyafanya kwa ajli ya Character yake in his upcoming movie ambayo hakuitaja jina. Amesema kuwa magazeti yamekuwa yakiandika uzushi kuhusu kupungua kwake wakati amefanya hivyo kwa sababu maalum. Hongera sana Ray kama kweli umepungua kwa ajili ya film role maana inaonyesha umeanza kuwa serious na kazi
                         

Previous
Next Post »