PICHA ZAIDI BAADA YA MADUKA YALIYOPO KWENYE KITUO CHA DALADALA CHA MWENGE KUUNGUA KWA MOTO

 

 

Wamiliki wa maduka wakiwa na bidhaa zao nje baada ya kuviokoa katika ajali ya moto uliokuwa unaunguza maduka yao katika Kituo cha Daladala cha Mwenge, Dar es Salaam leo. Zaidi ya maduka 18 ya vipondozi yalikumbwa katika mkasa huo.

Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji cha Jiji la Dar es Salaam, wakikagua baadhi ya maduka yaliathirika katika ajali hiyo.

Moja ya duka lililoungua paa

Wafanyabiashara wa maduka hayo wakiokoa bidhaa zao.

Asilimia ya vipodozi vikiwa nje baada ya kuviokoa kwenye ajali hiyo

Mmoja wa wamiliki wa maduka hayo akitafakari kuhusu ajali hiyo

Askari wa kike akilinda doria eneo hilo

Binti mfanyabiashara wa moja ya maduka hayo akiwa na huzuni

Mmoja wa maofisa wa Kikosi cha Polisi akielezea kuhusu ajali hiyo

Baadhi ya magari ya zimamoto yakiwa eneo la tukio

Mmoja wa maofisa wa Zimamoto akielezea kuhusu ajali hiyo

Wananchi wakishuhudia ajali hiyo nje ya kamba

Askari wa zimamoto wakikunja mipira yao ya maji baada ya kuuzima moto katika maduka hayo.

Previous
Next Post »