MLIMA KILIMANJARO WAINGIA KATIKA MAAJABU SABA YA AFRIKA

 

MLIMA Kilimanjaro umeingizwa katika maajabu saba ya Afirica huku maajabu mengine yakiendelea kutangazwa ukiwemo na mto Naili.
Katika sherehe za kutangazwa maajabu hayo saba ya Afirica zinafanyika jijini Arusha mbele ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Spika wa Bunge Anna Makinda, Mawaziri na Wabunge mbalimbali akiwemo Mbunge wa Arusha Mhe Godbles Lema leo.
Previous
Next Post »