KANDORO AFUNGA KONGAMANO LA NANE LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA NA WANAHABARI MTWARA


Mkuu wa Mkowa wa Mbeya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wakuu wa Mikoa nchini, Abbas Kandoro akihutubia wakati wa kufunga Kongamano la Nane la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya na Wanahabari wa kujadili utafiti uliofanywa na wanahabari kuhusu matumizi ya fedha zinazochangwa na wananchi kwa ajili ya afya katika halmashauri 26 nchini. Kongamano hilo lilifanyika kwa siku mbili kwenye Chuo cha Ualimu Mtwara.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akielezea jinsi ya kuwaomba watabibu kutoka wizarani kwenda kwenye halmashauri mbalimbali nchini pamoja na hospitali. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emmanuel Humba' PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emmanuel Humba akihutubia kwa kuwapongeza wanahabari waliofanya utafiti
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, akihutubia na kushukuru kwa kongamano hilo kufanyika Mtwara
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Jamhuri, Deodatus Balile akisoma maazimio ya kongamano hilo
Mwenyekiti wa kongamano, John Bwilre akiendesha mijadala mbalimbali
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa NHIF, Raphael Mwamotto akielezea katika kongamano hilo jinsi wanavyobaini wanachama walaghai.
Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Neville Meena akichangia mada na kuchukizwa na kitendo cha vyombo vya dola kulifumbia macho suala la kuwakamata watu wanaotorosha nje ya nchi Mkurugenzi dawa zinazotolewa na MSD
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NHIF, Eugen Mikongoto (kulia) akiwa katika kikao na baadhi ya wakuu wa wilaya pamoja na wakuu wa baadhi ya mikoa ili kuweka mambo sawa.

Mwandishi wa habari wa Nipashe, Sharon Shauwa akiwasilisha utafiti wake
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emmanuel Humba (kushoto0 akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid.
Wanahabari Celina Wilson wa Uhuru na Mbowe wa Mwananchi wakiwa katika semina hiyo
Mwandishannel hi wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten Dar es Salaam, Faraja Kihongole (kushoto) akiwa na mwenzie Vivian kutoka Kigoma

Wnahabari wakiwa kazini wakati wa kongamano hilo

Kandoro (kushoto), Humba na Dk Rashid wakisikiliza tafiti mbalimbali zikiwasilishwa

Ofisa Mahusiano wa NHIF, Grace Kisinga (kulia) na mwenzie wakiwajibika wakati wa kongamano hilo kuhakikisha mambo yanakwenda sawia.
Wakurugenzi na maofisa wa NHIF, wakisikiliza kwa makini mijadala mbalimbali
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani akielezea kuhusu utendaji wa bohari hiyo pamoja na changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo
Mwandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo, Neema Mgonja akiuliza swali
Previous
Next Post »