HE HEYAA PENNY NDO KILA KITU.....YEYE NDO WARIDI LA MOYO WANGU".....DIAMOND AFUNGUKA



 Mama yake Diamond (katikati), Penny kulia na rafiki wa Diamond
Diamond (katikati) akiwa na Penny (wa tatu kutoka kushoto) na washkaji.

 
Siku za hivi karibuni kumekuwepo na ‘speculation’ kuhusu kama Diamond Platnumz na mtangazaji wa DTV VJ Penny ni wapenzi baada ya kusambaa kwa picha kwenye mitandao ya kijamii inayowaonesha wakiwa pamoja kitandani.

Juzi Diamond alithibitisha rasmi kuwa kwa sasa anadate na mrembo huyo kwa kupost picha ya Penny (hiyo chini) kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: #MaBabyMama #De’MumOfMyBlood #MamaYounDiamond #YounPlatnumz #YoungPrezident…..
Katika kile kinachoonekana kuwa Penny na mama yake Diamond zinaiva, hivi karibuni walipiga picha ya pamoja walipomsindikiza Diamond kwenye show ya Kigamboni.
Previous
Next Post »